Mtaa wa agrey na likoma mkabala na bank ya mkombozi ghorofa ya kwanza
Fungua sasa
• Jumatatu - Jumamosi, 08:30-19:00
Mkoa wa Arusha • Arusha
arusha city
711 hotel nearby Stand kubwa ya mabasi yaendayo mikoani
Fungua sasa
• Jumatatu - Jumamosi, 08:00-20:00
Hubadilisha USB kuwa sehemu ya kuunganisha Headphone na Microphone
Hutoa sauti safi ya Stereo 3D / Virtual 7.1
Ina vitufe vya Volume + / -, Mute ya Microphone na Mute ya Speaker
Plug & Play – hakuna haja ya kusakinisha drivers kwenye Windows
Inafaa kwa laptop au PC yenye audio port iliyoharibika au isiyokuwepo
Inafaa kwa mikutano ya mtandaoni, gaming, kusikiliza muziki na matumizi ya kila siku