tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Elektroniki
  3. Vifaa vya Ziada vya Kompyuta
  4. Panya
  5. Wireless Panya
Imefaulu
Dar es Salaam, Ilala, siku 1 zilizopita
2 maoni

Transparent Cyberpunk Wireless Bluetooth Keyboard With Touchpad

+1
Nyingine
Aina
Other
Chapa
Chapa Mpya
Hali
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Ilala
Kariakoo
Imefungwa sasa
• Jumatatu - Jumapili, 08:00-20:00
Muundo wa Kipekee wa Kioo (Transparent Cyber Design): Mwonekano wa wazi unaoonyesha mfumo wa ndani na bodi ya umeme (circuit board), ukiipa muonekano wa kisasa kabisa (Futuristic / Cyberpunk Style). ​ Yenye Touchpad (Mouse Pad) Iliyojengewa Ndani: Inakuja na sehemu ya mouse inayofanya kazi kwa wepesi na usahihi mkubwa. ​ Taa za RGB / Backlight: Ina taa zinazowaka ambazo zinafanya ionekane vizuri zaidi gizani na kutoa mwonekano wa kipekee. ​ Inajazwa Charge (Rechargeable): Ina mfumo wa kuonyesha kiwango cha betri (Battery Indicator) na inachajiwa kwa urahisi. ​ Utendaji wa Mfumo Mbalimbali (Multi-OS Compatible): Inakubali mfumo wa Android, iOS (iPhone/iPad), na Windows (Laptop/PC) kupitia Bluetooth.
Transparent Cyberpunk Wireless Bluetooth Keyboard With Touchpad
TSh 65,000
3 Maonitazama zote
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif