tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Elektroniki
  3. Vifaa vya Ziada vya Kompyuta
  4. Panya
  5. Bluetooth Panya
Imefaulu
Dar es Salaam, Ilala, masaa 2 yaliyopita
1 maoni

Rechargeable Bluetooth Mouse & Keyboard Kit

+1
Nyingine
Aina
Other
Chapa
Chapa Mpya
Hali
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Ilala
Kariakoo
Fungua sasa
• Jumatatu - Jumapili, 08:00-20:00
Seti Kamili (Combo Kit): Unapata Keyboard na Mouse inayofanana rangi kwa pamoja. ​ Inajazwa Charge (Rechargeable): Zote mbili zinachajiwa, huna haja ya kununua betri za ziada mara kwa mara. ​ Betri Inakaa Muda Mrefu: Inatoa hadi masaa 150 ya kazi bila taa (without backlight) au masaa 3 na taa (with backlight). ​ Muundo wa Rangi Za Kisasa (Matching Colors): Zinapatikana katika rangi mbalimbali za kupendeza kama Bluu, Pinki, Kijani, Njano, na Zaidi. ​ Muunganiko wa Bluetooth: Inajiunga kwa urahisi kwenye Android, iOS (iPhone/iPad), na Windows bila shida ya waya.
Rechargeable Bluetooth Mouse & Keyboard KitRechargeable Bluetooth Mouse & Keyboard Kit
TSh 40,000
3 Maonitazama zote
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif