Precision & High Speed (FPS Shooter): Imetengenezwa maalum kwa ajili ya gaming na kazi zinazohitaji umakini na kasi kubwa ya cursor.
Muundo wa Kijanja (Futuristic Ergonomic Design): Muonekano wa kishujaa wenye rangi ya nyeupe na metallic chrome unaokaa mkononi vizuri bila kuteleza.
Vifungo vya Nyongeza (Extra Gaming Buttons): Ina vitufe vya pembeni na vya juu kwa ajili ya kuratibu DPI/Speed na shortcuts wakati wa game au kazi.
Taa za RGB/LED Lights: Ina taa zinazowaka kwa mtindo wa kijanja unapoichomeka kwenye kompyuta.
Matumizi: Inafanya kazi kwenye Laptop na Desktop Computer zote.