Muundo wa Kijanja (Ergonomic Design): Inakaa mkononi vizuri kiasili bila kuchosha kiganja hata ukitumia siku nzima.
Wireless Connection: Haina waya unaokera, inatumia USB receiver kwa muunganisho wa haraka na thabiti.
Speed Adjustable (DPI Control): Unaweza kubadilisha kasi ya cursor kulingana na matumizi yako (kazi za maofisini, graphics, au gaming).
Energy Saving: Inatunza umeme wa betri na kudumu kwa muda mrefu bila kuisha chaji haraka.
Matumizi: Inafanya kazi kwenye Laptop, Desktop Computer, na Smart TV.