tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Elektroniki
  3. Vifaa vya Ziada vya Kompyuta
Imefaulu
Dar es Salaam, Ilala, siku 1 zilizopita
2 maoni

​HP K-1700 USB Wired Desktop Keyboard

Nyingine
Aina
Other
Chapa
Chapa Mpya
Hali
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Ilala
Kariakoo
Imefungwa sasa
• Jumatatu - Jumapili, 08:00-20:00
Brand Maarufu ya HP: Ubora na udumu unaoaminika kutoka chapa ya kimataifa ya HP. ​ Muundo Kamili wa Vifungo (Full-Size Layout): Ina sehemu yote ya namba (Number Pad) inayowahusu sana watu wa mahesabu, maofisa wa fedha, na kazi za kila siku za ofisini. ​ Muunganiko wa Waya wa USB (Wired Keyboard): Chomeka na uanze kutumia papo hapo (Plug & Play), haina haja ya kuchaji wala kununua betri. ​ Mbonyezo Laini na Tulivu: Vifungo vimetengenezwa kutoa mbonyezo laini unaopunguza kelele unapoandika kwa muda mrefu. ​ Inadumu na Kustahimili Kazi Nzito: Imetengenezwa mahususi kwa matumizi ya muda mrefu ya maofisini na nyumbani.
​HP K-1700 USB Wired Desktop Keyboard​HP K-1700 USB Wired Desktop Keyboard
TSh 30,000
3 Maonitazama zote
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif