Dual Band USB Wi-Fi 6 + Bluetooth Adapter (AX900Mbps) - Driver Free
1/3
+1
Imefaulu
Dar es Salaam, Ilala, siku 1 zilizopita
3 maoni
Dual Band USB Wi-Fi 6 + Bluetooth Adapter (AX900Mbps) - Driver Free
Adapta
Aina
Other
Chapa
Chapa Mpya
Hali
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Ilala
Kariakoo
Imefungwa sasa
• Jumatatu - Jumapili, 08:00-20:00
Teknolojia ya Wi-Fi 6 (AX900Mbps): Inatoa kasi ya internet ya hadi 900Mbps (300Mbps kwa 2.4GHz + 600Mbps kwa 5GHz) kwa ajili ya browsing ya mtelemko, kuangalia video za HD, na kucheza games mtandaoni bila kukwama.
Dual Band (2.4GHz + 5GHz): Inakuwezesha kuunganisha na network za 2.4G na 5G kwa signal imara na yenye nguvu nyingi (Robust Signal).
Bluetooth + Wi-Fi Kwenye Kifaa Kimoja: Mbali na kuongeza Wi-Fi kwenye PC au Laptop yako, pia inakupa Bluetooth ya kuunganisha headphones, spika, mouse, au keyboard za wireless.
Driver Free (Plug & Play): Haihitaji installation ya CD wala kudownload ma-driver magumu; unaingiza tu kwenye port ya USB ya kompyuta yako na inaanza kufanya kazi mara moja.
Muundo Mdogo (Mini Design): Ni ndogo na rahisi kubeba, haiingilii port zingine za USB kwenye laptop yako.