tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Elektroniki
  3. Vifaa vya Ziada vya Kompyuta
Imefaulu
Dar es Salaam, Ilala, siku 1 zilizopita
4 maoni

Automatic Bill Counter & Counterfeit Detector (LAIBON)

+1
Nyingine
Aina
Other
Chapa
Chapa Mpya
Hali
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Ilala
Kariakoo
Fungua sasa
• Jumatatu - Jumapili, 08:00-20:00
Utambuzi wa Pesa Bandia (Counterfeit Detection): Ina sensorer 3 za kisasa (UV, MG, na IR) zinazotambua pesa bandia au zilizoharibika papo hapo ili kukulinda dhidi ya hasara. ​Kasi na Usahihi wa Hali ya Juu (High Speed & Accuracy): Inahesabu hadi noti 1,000 kwa dakika moja (1000 pcs/min) bila kuweka makosa au kurudia noti. ​Kioo cha Nje cha Ziada (External Digital Display): Inakuja na kioo cha ziada kwa ajili ya mteja kuona idadi ya pesa inayohesabiwa, kuongeza uwazi na uaminifu kwenye biashara. ​Mfumo wa Batch & Add: Inakuwezesha kutenga pesa kwa idadi uliyoichagua (k.m. noti 100 100) pamoja na kujumlisha mahesabu ya mfululizo. ​Kazi za Automatic (Start, Stop & Clearing): Inaanza na kusimama yenyewe pindi unapoweka au kutoa noti kwenye tray. ​Inafaa Aina Zote za Pesa (All Currencies): YAUMEME 220,000 YAKUCHAJI 300,000
Automatic Bill Counter & Counterfeit Detector (LAIBON)Automatic Bill Counter & Counterfeit Detector (LAIBON)
TSh 300,000
3 Maonitazama zote
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif