tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Elektroniki
  3. Vifaa vya Ziada vya Kompyuta
  4. Adapta za Kompyuta
  5. Apple Vifaa vya Ziada vya Kompyuta
Imefaulu
Dar es Salaam, Ilala, masaa 2 yaliyopita
9 maoni

Apple 45W MagSafe 2 Power Adapter for MacBook Air

+1
Adapta
Aina
Chapa
Chapa Mpya
Hali
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Ilala
Kariakoo
Fungua sasa
• Jumatatu - Jumapili, 08:00-20:00
​Kichwa cha Sumaku (MagSafe 2 Magnetic Connector): Connector yake ina sumaku inayojishika yenyewe kwenye laptop na inajichomoa kwa usalama bila kuangusha laptop pindi mtu akijikwaa kwenye waya. ​Uchaji wa Haraka na Salama (Fast & Safe Charging): Inatoa umeme thabiti wa 45W ulio salama kwa betri ya MacBook Air yako. ​Mwangaza wa Indiketa (LED Light Indicator): Ina taa ya LED kwenye kichwa cha chaja (Rangi ya Machungwa inapochaJi, na ya Kijani ikijaa). ​Muundo wa Kusafiria (Portable & Neat): Waya wake ni rahisi kukunja vizuri bila kuteseka pindi unaposafiri. ​Utangamano (Compatibility): Inafaa kwa MacBook Air zote za inch 11 na inch 13 (2012 - 2017 Model).
Apple 45W MagSafe 2 Power Adapter for MacBook AirApple 45W MagSafe 2 Power Adapter for MacBook Air
TSh 60,000
3 Maonitazama zote
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif