Kiwanda Cha Kusagia Karanga Chenye Eneo Kubwa Ukonga Mazizini Kinauzwa
Almasi
1/20
+ 15
picha
Imefaulu
Dar es Salaam, Ilala, masaa 3 yaliyopita
22 maoni
Kiwanda Cha Kusagia Karanga Chenye Eneo Kubwa Ukonga Mazizini Kinauzwa
+1
1
Kiwanda
Aina ya mali
UKONGA MOSHI BAE
Anwani
Samani
Samani
Imejengwa Mpya
Hali
2700sqm
Mita za mraba
10+
Nafasi za Maegesho
Yes
Maegesho Salama
Nyumba yenye kiwanda cha kusagia karanga na eneo kubwa, kinauzwa, kipo sambamba na barabara ya tami 0.5 km kutoka dar es salaam airport, kina huduma zote za kijamii, karibuni sana wateja