Tuxedo ya rangi ya Nyeusi (Black Luxury Tuxedo) kutoka JOSELINO:
Muonekano wa kifalme, heshima na mvuto wa kipekee kwa ajili ya siku yako kuu! Jipatie suti ya kifahari ya vipande vitatu (Koti la kipekee, Kisibau/Vest yenye vifungo vya kuvuka, na Suruali nyeusi) kutoka kwa brand mashuhuri ya JOSELINO.