tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Fasheni
  3. Mitindo ya Wanawake
  4. Mavazi ya Wanawake
  5. Suti za Wanawake
  6. Ya Wanaume Mitindo ya Wanawake
Imefaulu
Dar es Salaam, Ilala, masaa 2 yaliyopita
1 maoni

Suti Za Kike Za Lace (Gauni + Koti Lenye Ua Kifuani) / Size 42-50

Suti
Aina
Other Brand
Chapa
Ya Wanaume
Jinsia
Rangi nyingi
Rangi
Chapa Mpya
Hali
Suti za Kike za Lace (Gauni + Koti lenye Ua Kifuani) / Size 42-50 Muonekano wa kiofisi na sherehe unaovutia na wenye heshima ya hali ya juu! Tunauza seti nzuri sana za magauni ya kunasa mwilini (sheath dress) yasiyo na mikono yenye nakshi ya uzi (lace detail), yanayokuja na koti la mikono ya robo tatu (3/4 sleeves) lenye kola ya duara na ua la kitambaa kifuani.
Suti Za Kike Za Lace (Gauni + Koti Lenye Ua Kifuani) / Size 42-50Suti Za Kike Za Lace (Gauni + Koti Lenye Ua Kifuani) / Size 42-50Suti Za Kike Za Lace (Gauni + Koti Lenye Ua Kifuani) / Size 42-50Suti Za Kike Za Lace (Gauni + Koti Lenye Ua Kifuani) / Size 42-50
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif