Suti ya Kiume Nyeusi ya Kisasa (Slim Fit Black Suit) Inauzwa!
Ongeza muonekano wa kisharifu na wa kuvutia kwenye matukio yako muhimu kama harusi (suit ya bwana harusi au wasimamizi), sherehe za jioni, au mikutano rasmi. Suti hii imeshonwa kwa nyenzo bora na ya kisasa inayokaa vizuri mwilini (Slim Fit).