Suti hii nyingine ya kiume ya
JOSELINO ya rangi ya Nyeusi Classic:
Mvuto wa kipekee, heshima na muonekano nadhifu usiopitwa na wakati! Jipatie suti kali ya kiume ya vipande vitatu (Koti, Kisibau/Vest, na Suruali) kutoka kwa chapa mashuhuri yenye ubora wa hali ya juu ya JOSELINO.
Sifa za Suti:
• Rangi: Jet Black (Nyeusi iliyokolea) - Rangi classic inayompa mwanaume muonekano thabiti na wa kishua kwenye tukio lolote.