Shirts Kali Za Kiume Za Pamba (Plain & Embroidered Tees)
1/9
+1
+ 4
picha
Imefaulu
Dar es Salaam, Ilala, 27/10
28 maoni
Shirts Kali Za Kiume Za Pamba (Plain & Embroidered Tees)
Juu
Aina
Other Brand
Chapa
Unisex
Jinsia
Rangi nyingi
Rangi
Chapa Mpya
Hali
MPYA WA KIKALI UNAPATIKANA! 🔥
Boresha muonekano wako wa kila siku kwa t-shat hizi fupi za kijanja zilizotengenezwa kwa kitambaa kizito na laini cha pamba. Ni nzuri sana kwa mtoko wa kawaida, mtoko wa jioni, au kuvaa chini ya koti (blazer).