tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Fasheni
  3. Mitindo ya Wanaume
  4. Mavazi ya Wanaume
  5. Jeans za wanaume
  6. Boss Mavazi ya Wanaume
Dar es Salaam, Ilala, siku 1 iliyopita
1 maoni

Premium v-Neck Polo - Luxury Edition

Fulana na mizinga
Aina
Chapa
Ya Wanaume
Jinsia
Rangi nyingi
Rangi
Chapa Mpya
Hali
Fulana
Fulana na Aina ndogo ya Mizinga
*premium v-neck polo - luxury edition * polo motooo! - kitambaa kali - laini, kizito & imara - ribbed texture kali - haichubuki, haipotezi rangi - kola ya v-neck ya kifalme - design simple lakini classy sana - inakaa vizuri mwilini - look ya kiboss! *rangi kali zilizopo kama picha:* jet black - boss kali! pure white - clean & inang'aa! blue grey - official sana! mustard / orange - inang'aa sana! ash grey - stylish sana! olive / army green - unique sana! *sizes:* m - 2xl (size zote zipo) best kwa ofisini, church, casual, dinner, harusi, kitchen party & kila sherehe - ina-match na jeans, khaki, trouser na shorts - ukivaa hii, utaonekana boss mwenye pesa! * kariakoo, congo & narung'ombe st.* * delivery dar & mikoani leo leo* * - wahi rangi yako kabla haijaisha!*
Premium v-Neck Polo - Luxury EditionPremium v-Neck Polo - Luxury EditionPremium v-Neck Polo - Luxury EditionPremium v-Neck Polo - Luxury EditionPremium v-Neck Polo - Luxury EditionPremium v-Neck Polo - Luxury Edition
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif