tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Fasheni
  3. Mitindo ya Wanaume
  4. Mavazi ya Wanaume
  5. Jeans za wanaume
  6. Boss Mavazi ya Wanaume
Dar es Salaam, Ilala, 23 min ago
1 maoni

Premium Polo T-Shirt - Luxury Edition

Fulana na mizinga
Aina
Chapa
Ya Wanaume
Jinsia
Rangi nyingi
Rangi
Chapa Mpya
Hali
Pamba
Vifaa ama nyenzo
Fulana
Fulana na Aina ndogo ya Mizinga
Premium polo t-shirt - luxury edition polo motooo! - cotton kali - kitambaa laini, kizito & imara - haichubuki, haipotezi rangi - kola imara - design simple lakini ya kifalme - vifungo kali na line ya white pembeni - inakaa vizuri mwilini - classy sana! *rangi kali zilizopo kama picha:* jet black - boss kali! pure white - clean & inang'aa! navy blue - official sana! army green / olive - unique sana! light grey / ash grey - stylish sana! coffee brown / mocha - boss mkubwa! *sizes:* m - 2xl (size zote zipo) best kwa ofisini, church, casual, dinner, harusi, kitchen party & kila sherehe - ina-match na jeans, khaki, trouser na shorts - ukivaa hii, utaonekana boss mwenye pesa! * kariakoo, congo & narung'ombe st.* * delivery dar & mikoani leo leo* * - wahi rangi yako kabla haijaisha!*
Premium Polo T-Shirt - Luxury EditionPremium Polo T-Shirt - Luxury Edition
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif