Premium Men's Flannel Plaid Jackets / Shackets
Ongeza unyama na muonekano wa kijanja kwenye uvaaji wako! Jipatie makoti haya ya kisasa kabisa ya mtindo wa mashati mazito (Shackets) yaliyotengenezwa kwa kitambaa cha pamba nzito yenye manyoya laini (Premium Heavyweight Flannel).
Sifa za Makoti Haya: