Premium 3-Piece Light Grey/Blue Wool Suit)
Unatafuta muonekano wa kisasa na wa kipekee kabisa kwa ajili ya sherehe au vikao vya maana? Suti hii ya chapa maarufu ya Joselino imetengenezwa kwa kitambaa cha Wool cha hali ya juu kisichokunjamana kirahisi na chenye muundo maridadi wa nyuzi thabiti