Polo za Zipu na Bukta za Kijanja "W Over Here" - Rangi 3 Tofauti
Seti za Bukta na T-Shirt za Kola za Kiume (Classy Men's Casual Ribbed Short Sets) Inauzwa!
Refresh muonekano wako wa wikiend, mitoko ya kawaida au spoti na washkaji! Seti hizi za kisasa zimeundwa kwa t-shirt ya polo ya zipu yenye mistari meupe/myeusi ya pembeni inayonyoosha mabega, ikisindikizwa na bukta ya kamba (drawstring) yenye mifuko ya pembeni na viwango vya juu. Kitambaa chake cha mtindo wa ribbed ni laini, kinapumua vizuri, na kinakaa vyema mwilini bila kupoteza muonekano baada ya kufua.