Pendeza Kistaa na Maximiliano Executive 3-Piece Soft Blue Suit
Ongeza muonekano wa 'High Class' kwenye kabati lako la nguo kwa suti hii kali ya vipande vitatu ya kiume. Kitambaa cha ubora wa juu kinachohakikisha uimara, wepesi na faraja ya hali ya juu kipindi chote cha sherehe au vikao vya kiofisi.