Muonekano wa Kiofisi na Kijanja!
Miliki muonekano wa kipekee, wa heshima na wa kisasa ukiwa na suti hizi kali za Kaunda (Safari Suits). Ni suti nzuri sana kwa ajili ya ofisini, mikutano, sherehe, au mitoko rasmi ya jioni!
Mtindo (Style): Kaunda suit ya mikono mifupi yenye mifuko miwili ya kifuani (Smart Casual Safari Suit).