tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Fasheni
  3. Mitindo ya Wanawake
  4. Mavazi ya Wanawake
  5. Mavazi
  6. Ya Wanaume Mavazi
Imefaulu
Dar es Salaam, Ilala, masaa 3 yaliyopita
3 maoni

Magauni Mazuri Ya Ofisini Na Sherehe (Elegant Blazer a-Line Dresses)

Marinda
Aina
Other Brand
Chapa
Ya Wanaume
Jinsia
Rangi nyingi
Rangi
Chapa Mpya
Hali
Nyingine
Aina ndogo ya Mavazi
Nyingine
Kufungwa
Magauni Mazuri ya Ofisini na Sherehe (Elegant Blazer A-Line Dresses) – Mapya Magauni ya Kike ya Kiofisi na Sherehe (Elegant A-Line Blazer Dresses) Inauzwa! Ongeza heshima na muonekano wa kisharifu kiofisi au kwenye matukio rasmi! Magauni haya yanachanganya mtindo wa koti (blazer) na skati ya A-line inayomfanya mwanamke aonekane wa kisasa na mwenye mvuto mkubwa. Kiuno kimeshonwa kwa mtindo unaobana na kuonyesha shepu vizuri kikiwa na nakshi za vifungo vya dhahabu. [image_ER1WtK.png]
Magauni Mazuri Ya Ofisini Na Sherehe (Elegant Blazer a-Line Dresses)Magauni Mazuri Ya Ofisini Na Sherehe (Elegant Blazer a-Line Dresses)
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif