Jacket za Kijanja za Kiume (Hooded Flannel Flannel Shirts) - Mzigo Mpya!
Jipatie mashati-jacket mazito na ya kisasa kabasa ya kiume ya mtindo wa viroba (plaid/flannel) yenye kofia (hoodie) kwa ndani. Ni vazi kamili linalokupa mwonekano wa kijanja (casual & smart look) huku likikukinga na baridi au upepo. Yanafaa sana kwa mitoko ya jioni, matembezi, au mtoko wowote wa kawaida wa weekend.