Chapa (Brand): Joselino (Original Ikiwa Na Lebo Zake)
1/5
Imefaulu
Dar es Salaam, Ilala, siku 1 zilizopita
1 maoni
Chapa (Brand): Joselino (Original Ikiwa Na Lebo Zake)
+1
Suti
Aina
Other Brand
Chapa
Ya Wanaume
Jinsia
Taupe
Rangi
Chapa Mpya
Hali
Ona suti ya kisasa na ya kifahari kabisa kwa ajili ya harusi, sherehe, au mikutano ya kikazi! Suti hii ya vipande vitatu kutoka chapa maarufu ya Joselino imetengenezwa kwa kitambaa cha Wool cha hali ya juu chenye muundo wa kipekee.