tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Fasheni
  3. Mitindo ya Wanaume
  4. Mavazi ya Wanaume
  5. Vesti za Wanaume
  6. Mario Casas Mavazi ya Wanaume
Imefaulu
Dar es Salaam, Ilala, masaa 10 yaliyopita
1 maoni

Brand Ya Mario Casas, Zimetengenezwa Kwa Kitambaa Kizito,

Suti
Aina
Ya Wanaume
Jinsia
Buluu
Rangi
Chapa Mpya
Hali
Brand ya Mario Casas, zimetengenezwa kwa kitambaa kizito, Muonekano wa kipekee na wa kifahari ukiwa na suti hizi kali za kisasa za vipande vitatu (koti, kileba/vest, na suruali). Ni suti zilizoundwa kwa ustadi mkubwa na kitambaa chenye muundo wa kipekee wa kuvutia (textured pattern). Ni chaguo kamili kwa ajili ya harusi (bwana harusi au wasimamizi), sherehe za kipaimara, mahafali (graduation), mikutano rasmi ya kiofisi au mitoko yote ya kishua.
Brand Ya Mario Casas, Zimetengenezwa Kwa Kitambaa Kizito,Brand Ya Mario Casas, Zimetengenezwa Kwa Kitambaa Kizito,Brand Ya Mario Casas, Zimetengenezwa Kwa Kitambaa Kizito,
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif