tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Watoto na Watoto
  3. Vifaa vya watoto na vifaa
  4. Baby Swing
  5. High Vifaa vya watoto na vifaa
Imefaulu
Dar es Salaam, Ilala, 47 min ago
15 maoni

Multipurpose Baby Feeding High Chair

+1
1
Kiti cha kulisha
Aina
Chapa Mpya
Hali
Unisex
Jinsia
Yoyote
Umri
Fedha
Rangi
Multipurpose baby feeding high chair # ni highchair nzuri sana unaweza kuitumia kwa namna tofauti tofauti na kwa kazi tofauti tofauti unaweza kutumia kama kiti cha kulishia mtoto, maji, juice n.k» unaweza kuitumia kama sehemu ya kumpumzishia mtoto. «mgongo wake unaweza kuuinua na kuulaza» na urefu unaoutaka wewe • unaweza kuitumia kama rocking chair yaan ukatumia kama swing ( manually) kwa ajili ya kubembeleza mtoto. • ina matairi , unaweza kuitembesha kutoka sehemu moja hadi nyingine kwa urahisi #hina kunjika kwa urahisi hivyo unaweza kusafiri nayo # ina kiti chake cha sponji inamfanya mtoto awe comfortable akikaa na bila kuumia #+ ni water proof #ykina mikanda yake ya kumfunga akikaa kwo hawezi kutoka wala kudondoka size: 3 months ~ 10 years ni kizuri sana na ni imara
Multipurpose Baby Feeding High Chair
TSh 300,000
Bei isiyobadilika
2 Maonitazama zote
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif