tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Simu na Tableti
  3. Vifaa vya Simu na Vidonge
  4. Kesi za Nguvu
Dar es Salaam, Ilala, 17/08
2 maoni

BOYA Mini - 2.4 GHz Mini Wireless Microphone System

+1
Boya
Chapa
Mikrofoni
Aina
Chapa Mpya
Hali
✓Microphone ndogo sana zisizotumia waya : Kila moja ina uzito wa gramu 5, hivyo haionekani kirahisi ikibandikwa ✓Betri ya muda mrefu — Kila mic hudumu hadi masaa 6, pamoja na charging case inaweza kufikia masaa 30 kwa jumla. ✓Inaenda Umbali wa hadi mita 100 ✓AI Noise Cancellation — Hupunguza kelele za mazingira ili kutoa sauti safi na yenye ubora wa kitaalamu. Plug & Play — unaunganisha kiurahisi moja kwa moja kwenye simu kupitia USB-C au Lightning, ✓Inatoa sauti ya kiwango cha juu hadi 48kHz Inafaa zaidi kwa: Wachungaji, wahubiri, wazungumzaji, watengeneza maudhui, vloggers na watu wanaofanya mahojiano.
BOYA Mini - 2.4 GHz Mini Wireless Microphone System
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif