Adjustable Long Arm Floor Stand Holder (Stendi Ndefu Ya Chini Ya Simu
1/3
Imefaulu
Dar es Salaam, Ilala, siku 1 zilizopita
2 maoni
Adjustable Long Arm Floor Stand Holder (Stendi Ndefu Ya Chini Ya Simu
+1
Other
Chapa
Stendi na Vishikiliaji
Aina
Chapa Mpya
Hali
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Ilala
Kariakoo
Imefungwa sasa
• Jumatatu - Jumapili, 08:00-20:00
Matumizi ya Aina Mbili: Inashikilia simu zote kubwa na ndogo pamoja na Tablet / iPad vizuri kabisa.
Mkono Unaojikunja na Kurekebishwa (Flexible Cantilever Arm): Unaweza kuileta karibu, kuiweka juu, chini au kuisogeza pembeni kulingana na ulivyokaa au ulivyolala.
Mzunguko wa 360° (360-Degree Rotation): Inazunguka upande wowote ili upate angle nzuri zaidi ya kuangalia skrini au kurekodi.
Msingi Imara wa Chini (Heavy Duty Base): Ina msingi imara na mzito wa duara unaozuia stendi kuanguka au kuyumba wakati simu/tablet imewekwa.
Inafaa Maeneo Mbalimbali: Ni nzuri kwa matumizi ya chumbani (kitandani), sebuleni (sofani), ofisini, au studio kwa ajili ya waundaji wa maudhui (content creators).