Tunauza taa mpya za magari za aina zote na accessories mbalimbali kama bamba, show grill, fog lights, na corner lamps. Bei zinatofautiana kulingana na aina ya gari na bidhaa unayohitaji. Duka lipo Ilala, katika makutano ya Lindi na Newala Street (BINAMOUR AUTO CAR LIGHTS ACCESSORIES). Karibu tukuhudumie au tupigie kupitia simu namba077XXXXXXX