Mwanga Mwanana wa Studio (Beauty Lighting): Inasambaza mwanga kwa usawa kwenye uso na kupunguza vivuli vikali, ikileta muonekano mzuri sana kwa picha za Portrait, Beauty, na Fashion.
Inakuja na Honeycomb Grid: Inakusaidia kuuelekeza mwanga sehemu moja mahsusi (focus light) bila mwanga kusambaa hovyo pembeni, hivyo kutengeneza drama na contrast ya kipekee.
Inafaa Bowens Mount: Inaingia kwa urahisi kwenye taa zote za studio zenye mount ya Bowens (kama Godox SK, QS, DP Series, Jinbei, Triopo n.k.).
Imejengwa kwa Chuma Imara: Muundo thabiti wa alumini unaodumu kwa muda mrefu bila kuathiriwa na joto la taa.
Matumizi Mbalimbali: Ni kamili kwa wapiga picha za studio, video za urembo/make-up, matangazo ya bidhaa, na maudhui ya mtandaoni.