tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Elektroniki
  3. Kamera za Picha na Video
  4. Lensi za Kamera
  5. Sony Kamera za Picha na Video
  6. Sony Zv E10
Imefaulu
Dar es Salaam, Ilala, masaa 2 yaliyopita
6 maoni

Sony ZV-E10 II Mirrorless Camera + 16-50mm Lens (Brand New / Full Box)

Kamera za Dijitali
Aina
Kufanya
Mfano
Chapa Mpya
Hali
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Ilala
Kariakoo
Imefungwa sasa
• Jumatatu - Jumapili, 08:00-20:00
​Sensor ya Megapixel 26 (APS-C): Inatoa picha zenye muonekano safi sana na rangi halisi. ​Video ya 4K: Inarekodi video za hali ya juu na za kiwango cha kitaalamu. ​Autofocus ya Haraka: Inafuatilia macho na uso kwa haraka na usahihi mkubwa (Eye AF) bila kupoteza focus. ​Lensi ya Kit: Inakuja na lensi ya E 16-50mm F3.5-5.6 PZ OSS II yenye Zoom ya umeme na uwezo wa kuzuia mitikisiko (Stabilization). ​Kioo Kinachojikunja (Flip Screen): Inafaa sana kwa ajili ya kujirekodi mwenyewe (Vlogging) na kuchukua pembe tofauti za picha/video. ​Product Showcase Setting: Inafaa sana kwa wanaofanya biashara za mtandaoni kwani inabadilisha focus haraka kutoka usoni hadi kwenye bidhaa unayoonyesha. ​Urahisi wa Kuitumia: Imesheheni vitufe maalum vya kubadili mode za Video, Picha, na S&Q (Slow & Quick) kwa urahisi.
Sony ZV-E10 II Mirrorless Camera + 16-50mm Lens (Brand New / Full Box)
TSh 3,500,000
3 Maonitazama zote
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif