tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Elektroniki
  3. Kamera za Picha na Video
  4. Lensi za Kamera
  5. Prime Lensi za Kamera
Imefaulu
Dar es Salaam, Ilala, masaa 2 yaliyopita
4 maoni

Sony Fe 85mm F/1.8 Prime Lens for Sale!

+1
Kamera za Dijitali
Aina
Other
Kufanya
FE 85mm
Mfano
Chapa Mpya
Hali
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Ilala
Kariakoo
Fungua sasa
• Jumatatu - Jumapili, 08:00-20:00
Aperture ya f/1.8: Inafanya kazi vizuri sana kwenye giza au mwanga mdogo na inatoa background blur (bokeh) mwanana sana. ​85mm Focal Length: Urefu sahihi kabisa wa kuchukua picha za watu (Portrait Photography), harusi, na matukio bila kupotosha muonekano wa sura. ​Autofocus ya Haraka na Kimya: Mfumo wa Double Linear Motor unaowesha Eye AF kufanya kazi kwa kasi na usahihi mkubwa. ​Inafaa Kamera Zote za Sony E-Mount: Inafanya kazi vizuri kwenye Full Frame (A7 III, A7 IV, A7R Series jinsi zilivyo) na pia kwenye miili ya APS-C (A6000, A6400, A6600 nk). ​Imejengwa kwa Ubora na Wepesi: Ni nyepesi kubeba lakini ina vitufe vya Focus Hold Button na AF/MF switch kwa urahisi wa matumizi.
Sony Fe 85mm F/1.8 Prime Lens for Sale!Sony Fe 85mm F/1.8 Prime Lens for Sale!
TSh 1,350,000
3 Maonitazama zote
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif