tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Elektroniki
  3. Kamera za Picha na Video
  4. Kamera za Filamu
  5. Flash Kamera za Picha na Video
Dar es Salaam, Ilala, 11/06
32 maoni

Mini Projector / Tv Portable

+1
2
Kamera za Filamu
Aina
Other
Kufanya
hy320mini
Mfano
Chapa Mpya
Hali
Upinzani wa vumbi
Vipengele vya Kamera za Filamu
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Ilala
Kariakoo
Call & normal text
Open
• Jumatatu - Jumapili, 06:12-23:58
HY320 Mini Projector ni chaguo bora kwa mtu anayehitaji screen kubwa bila kutumia TV ya gharama. Inatoa picha safi kwa 720p na ku-support hadi 1080p/4K, hivyo inafaa kwa movie, mpira, YouTube na presentation. Ina Android 11 ndani, hivyo unatumia apps kama YouTube, Netflix au TikTok bila vifaa vya ziada. Pia ina WiFi na Bluetooth 5.0 kwa kuunganisha simu au speaker za nje. Ukiwa na HDMI, USB na audio out, unaweza kuunganisha laptop, PS, flash au TV-stick kwa urahisi. Ni ndogo, nyepesi na rahisi kubeba popote, na picha zake zinafika hadi inchi 150. HY320 ni muhimu kwa nyumbani, biashara ndogo, events au gamers wanaotaka screen kubwa kwa bei ndogo.
TSh 220,000
Bei isiyobadilika
1 Maonitazama zote
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif