Kamera namba moja kwa watengeneza maudhui (Content Creators), ma-Vlogger, na watengeneza video za matukio!
Sensori Kubwa ya Inch 1 (1-inch CMOS Sensor): Inarekodi video zenye ubora wa hali ya juu wa 4K/120fps, hata katika mazingira yenye mwanga mdogo au usiku.
Kioo cha Touch Screen cha Inch 2 (Rotatable OLED Touchscreen): Kioo kinachozunguka kwa urahisi ili kubadili kati ya video za wimbi (Horizontal) na za wima (Vertical za TikTok, Reels na Shorts).
3-Axis Mechanical Stabilization: Mfumo wa kisasa unaofanya video zako ziwe laini kabisa (smooth) bila kutikisika hata kama unakimbia au unatembea.
Creator Combo Pack (Kifurushi Kamili): Inakuja na vifaa vyote muhimu vya ziada ikiwemo:
DJI Mic 2 Transmitter: Maikrofoni ya wireless kwa ajili ya sauti safi kabisa bila kelele za nje.
Battery Handle: Mpini wenye betri ya ziada