Camera za wifi na bila wifi
aina za camera
1.wifi panorama camera 35,000/=
2.cloud storage camera 50,000/=
3.wifi smart camera 60,000/=
jinsi ya kuunganisha bila kutumia wifi
•weka memory card (microsd)32gb,64gb/128gb
••washa kamera na uifanye upya (reset)
• pakua app kwenye simu yako
• unganisha simu na wifi ya kamera
• fungua app ya kamera(anza kutumia)
kariakoo mtaa uhuru na msimbazi062XXXXXXX