tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Burudani na Shughuli
  3. Vitabu na Michezo ya Jedwali
  4. Vitabu vya Sheria
Imefaulu
Dar es Salaam, Ilala, masaa 11 yaliyopita
2 maoni

The 48blaws of Power Book Softcopy

+1
Chapa Mpya
Hali
Vitabu
Aina
Msaada wa kibinafsi
Genre
Watu wazima
Kiwango cha Umri
586
Idadi ya Kurasa
1990
Mwaka wa Uchapishaji
eKitabu
Umbizo
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Temeke
Keko Temeke
Whatsapp number
Closed
• Jumatatu - Jumapili, 08:00-22:00
Dar es Salaam • Kinondoni
Ubungo
Whatsapp number
Closed
• Jumatatu - Jumapili, 07:15-22:00
*Kitabu cha "The 48 Laws of Power" - Robert Greene* Hiki ni kitabu maarufu sana kinachochanganua jinsi "nguvu" inavyofanya kazi katika historia, siasa, biashara na mahusiano. *Kinahusu nini zaidi?* 1. *Sheria 48 za kupata na kudumisha nguvu* Greene ametoa sheria 48 zilizotoholewa kutoka kwa watu mashuhuri wa historia kama Machiavelli, Sun Tzu, Julius Caesar, Queen Elizabeth I. Kila "sheria" inaeleza mkakati mmoja wa kupata ushawishi, kuheshimiwa, na kuepuka kudharauliwa. 2. *Saikolojia ya watu na mchezo wa nguvu* Kitabu kinaonyesha kuwa maisha ni kama "mchezo wa nguvu". Watu daima wanapambania sifa, pesa, heshima. Kitabu kinakufundisha kutambua mchezo huu ili usiwe pawn - uwe mchezaji. 3. *Mbinu za kimkakati Softcopy ya kitabu Tsh 5000 Kipo katika lugh ya kiingereza na cha tafsiri ya Kiswahili WhatsApp076XXXXXXX
TSh 5,000
7 Maonitazama zote
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif