tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Urembo na Huduma ya Kibinafsi
  3. Huduma ya Mwili
  4. Mafuta ya mwili
  5. Glow Mafuta ya mwili
Dar es Salaam, Ilala, masaa 2 yaliyopita
2 maoni

De.Blanche Mango Glow Body Oil 250ml – Mafuta Ya Mwili

+1
Mafuta ya Mwili
Aina
Unisex
Jinsia
Chapa Mpya
Hali
DE.BLANCHE MANGO GLOW BODY OIL Ungependa ngozi yako ionekane yenye mng'ao na ulaini? Jaribu De.Blanche Mango Glow Body Oil yenye dondoo la embe na viambato kama Niacinamide, Glycerin na Ceramide. Husaidia kuipa ngozi unyevunyevu. Husaidia kuifanya ngozi ionekane yenye mng'ao. Ina viambato vinavyosaidia kutunza na kulainisha ngozi. Chupa ya 250ml. Karibu ujipatie yako leo! Bidhaa nzuri kwa ajili ya utunzaji wa ngozi yako. Tunapatikana Kariakoo, Mtaa wa Mafia na Bonde. Wasiliana nasi kwa bei na maelezo ya delivery.
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif