tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Urembo na utunzaji binafsi
  3. Huduma ya Mwili
  4. Losheni za Mwili
  5. Moisturizing Losheni za Mwili
Dar es Salaam, Ilala, masaa 9 yaliyopita
3 maoni

AmLactin Moisturizing Lotion – Huduma Ya Ngozi Laini Na Yenye Unyevu

+1
Lotions ya Mwili
Aina
Unisex
Jinsia
Chapa Mpya
Hali
AMLACTIN DAILY NOURISH 12% LACTIC ACID Unatafuta losheni ya kusaidia ngozi yako kuwa laini na yenye unyevunyevu? Jaribu AmLactin Daily Nourish yenye 12% Lactic Acid. Husaidia kulainisha ngozi kavu na yenye ukwaruzo. Husaidia kuondoa seli zilizokufa taratibu. Husaidia kuhifadhi unyevunyevu wa ngozi. Haina manukato wala parabens kwa mujibu wa lebo. Inafaa kwa wanaume na wanawake. Ujazo: 225 g Tunapatikana Kariakoo, Mtaa wa Mafia na Bonde. Wasiliana nasi kwa maelezo ya bei na huduma ya delivery. Karibu mteja, pata bidhaa yako leo!
AmLactin Moisturizing Lotion – Huduma Ya Ngozi Laini Na Yenye Unyevu
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif