tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Fasheni
  3. Mitindo ya Wanaume
  4. Mifuko ya Wanaume
  5. Mikoba ya pembeni ya wanaume
  6. Rangi nyingi Mitindo ya Wanaume
Imefaulu
Dar es Salaam, Ilala, masaa 2 yaliyopita
4 maoni

Pendeza Kijanja Na Combo Ya Mabegi 3-in-1

Nyingine
Aina
Unisex
Jinsia
Other Brand
Chapa
Chapa Mpya
Hali
Rangi nyingi
Rangi
Seti Kali za Mabegi 3-in-1 (Backpack + Side Bag + Pouch) Zimeingia! Hii ni seti kamili inayokupa kila kitu unachohitaji kwa pamoja. Inajumuisha begi kubwa la mgongoni (Backpack), begi la pembeni (Side Bag/Crossbody), na kapochi kadogo (Pouch) kwa ajili ya vifaa vidogo vidogo. Nyenzo ni imara na zisizopitisha maji kwa urahisi, yanafaa kwa wanafunzi wa shule, chuo, au mitoko
Pendeza Kijanja Na Combo Ya Mabegi 3-in-1Pendeza Kijanja Na Combo Ya Mabegi 3-in-1Pendeza Kijanja Na Combo Ya Mabegi 3-in-1Pendeza Kijanja Na Combo Ya Mabegi 3-in-1Pendeza Kijanja Na Combo Ya Mabegi 3-in-1Pendeza Kijanja Na Combo Ya Mabegi 3-in-1
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif