tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Elektroniki
  3. Vifaa vya Sauti na Muziki
  4. Spika
  5. Bluetooth Spika
Dar es Salaam, Ilala, 23/05
5 maoni

Subwoofer Alitop

+1
Spika
Aina
Chapa Mpya
Hali
alitop
Chapa
Nyingine
Usanidi wa Spika
2watts
Nguvu ya Pato la Spika
Bluetooth
Muunganisho wa mzungumzaji
Hapana
Kubadilishana inawezekana
Tunauza subwoofer aina ya alitop subwoofer hii ipo vizuri kwa mdundo na haikeri ipo simple na ina uwezo mkubwa wa saut na pia inatumia bluetooth & ina wire wa mbili kwa moja huu wire ni kwa ajili ya kuunganisha na simu ili uweze kusikiliza music kutoka kwenye simu kwenda kwenye subwoofer hivyo mnakaribishwa sana mjipatie huduma zetu kwa bei nafuu
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif