tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Elektroniki
  3. Vifaa vya Sauti na Muziki
  4. Vipokeaji
  5. Clarity Vifaa vya Sauti na Muziki
Imefaulu
Dar es Salaam, Ilala, siku 1 zilizopita
24 maoni

Sennheiser SKM 9900 (Wireless Handheld Transmitter

+1
Maikrofoni au vipaza sauti
Aina
Chapa Mpya
Hali
Sennheiser
Chapa
Ni handheld wireless transmitter ya kiwango cha juu inayotumika kwenye mifumo ya kitaalamu ya sauti. Inajulikana kwa ubora wa sauti ulio safi, clarity ya juu na latency ndogo, hivyo kutoa uzoefu wa audio wa uhakika katika mazingira ya live. Ina uwezo wa kufanya kazi na capsule mbalimbali za Sennheiser, hivyo mtumiaji anaweza kubadilisha aina ya microphone head kulingana na matumizi ya kuimba au kuongea. Muundo wake ni imara wa metal unaofaa matumizi ya stage, tours na mazingira magumu. SKM 9900 hutumia betri zenye uwezo wa kudumu na ina controls za gain, mute na frequency kwa udhibiti rahisi. Hufanya kazi pamoja na receivers za professional digital systems, zikitoa signal thabiti yenye interference ndogo. Inafaa kwa concerts, kanisani, studio, broadcast na events kubwa zinazohitaji ubora wa hali ya juu na reliability ya kitaalamu.
TSh 680,000
1 Maonitazama zote
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif