tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Elektroniki
  3. Vifaa vya Sauti na Muziki
  4. Karaoke
  5. Xdobo Vifaa vya Sauti na Muziki
Imefaulu
Dar es Salaam, Ilala, masaa 10 yaliyopita
2 maoni

MFALME WA SOUND!! Xdobo King Max 140W (2 Mics)

+1
Spika
Aina
Chapa Mpya
Hali
Chapa
Bluetooth
Muunganisho wa mzungumzaji
MFALME WA SOUND!! Kwa wanaopenda mziki mzuri na bass flani limetulia na heavy chuma hiki hapa Kwanza ina 140W hope utakubaliana na mimi kwamba hii sound ina nguvu ya hatariii Inakuja na microphone mbili za wireless ambazo zinachajiwa na zinakaa na charge kwa muda mrefu Ina wireless remote controller portable flan ambayo unafeatures zote zilizopo kwenye speaker Ina Karaoke mode ambayo inaweza kuondoa sauti kwenye wimbo na kuacha instrumental na back vocals tu (kwa apple music, spotify, na boomplay) Ina powerbank inayokuwezesha kuchaji vifaa vyako vyote cha haraka na ukaendelea kuenjoy mziki mzuri Ina mkanda unaokusaidia kuibeba kwa urahisi
MFALME WA SOUND!! Xdobo King Max 140W (2 Mics)
TSh 450,000
1 Maonitazama zote
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif