tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Elektroniki
  3. Vifaa vya Sauti na Muziki
  4. Baa za Sauti
  5. Samsung Vifaa vya Sauti na Muziki
Imefaulu
Dar es Salaam, Ilala, masaa 2 yaliyopita
29 maoni

LG Home Theatre Watts 1000 MODEL = LHD677

+1
1
LG
Chapa
Mifumo ya ukumb i wa michezo ya Nyumbani
Aina
Chapa Mpya
Hali
Bluetooth, USB
Muunganisho wa Theatre ya Nyumbani
Hapana
Kubadilishana inawezekana
Uwasilishaji
Dar es Salaam
1 mchana
Bila malipo
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Ilala
KARIAKOO NJIAPANDA YA MTAA WA NDANDA NA MUHONDA NYUMA YA CHINA PLAZA KARIBU NA BUTTERFLY HOTEL
Open
• Jumatatu - Jumapili, 08:00-22:00
Ili ujibiwe haraka usitume meseji nipigie simu . hii ni home theatre ya lg ambayo ina spika mbili kubwa pamoja na deki yake, ina mziki mnene sana wa watts 1000 na ni imara sana na warranty mwaka . delivery tunafanya na utalipia baada ya kupokea mzigo wako na kujiridhisha kuwa uko salama . usishangae unafuu wa bei zetu kwakuwa sisi hatuuzi kwa tamaa kama wengine hivyo usikubali kupigwa tena na kupoteza pesa zako nyingi kwenye manunuzi ya electronics . sisi tutakuuzia bei ndogo, tunazo bidhaa zote brand zote tupigie kabla hujanunua chochote kwa wenye tamaa tukupe bei zetu nafuu ulinganishe na zao ili uone utofauti . zipo bidhaa zote kama vile tv, sabufa, sound bar, pressures cookers, majiko ya umeme na gesi, na nyinginezo nyingi. tunazo brand zote kama hisense, samsung, lg, tcl, aborder, alitop . tuko kariakoo karibu na kanisa la kkkt
LG Home Theatre Watts 1000 MODEL = LHD677
TSh 790,000
Inaweza kujadiliwa
2 Maonitazama zote
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif