tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Elektroniki
  3. Vifaa vya Sauti na Muziki
  4. Spika
  5. Bass Spika
Imefaulu
Dar es Salaam, Ilala, masaa 2 yaliyopita
2 maoni

​Kisonli U-2900 USB Gaming Speaker 2.1 - Bass Nguvu & Sauti Safi

+1
Nyingine
Aina
Chapa Mpya
Hali
Other
Chapa
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Ilala
Kariakoo
Imefungwa sasa
• Jumatatu - Jumapili, 08:00-20:00
​Mfumo wa 2.1 Channel: Inakuja na Subwoofer kuu pamoja na spika ndogo mbili zinazotoa sauti yenye bass nzuri na ya tofauti. ​USB Powered: Inatumia umeme wa port ya USB (inachomeka kwenye computer, laptop au kichwa cha chaja). ​Volume Control: Ina sehemu ya kuratibu sauti mbele kwa urahisi zaidi. ​Matumizi ya Aina Mbalimbali: Inafaa kwa Desktop Computer, Laptop, TV na Simu (kupitia AUX audio cable). ​Muonekano wa Kisasa: Muundo wa kijanja wa gaming wenye kisu cha kurekebisha sauti cha rangi ya bluu.
​Kisonli U-2900 USB Gaming Speaker 2.1 - Bass Nguvu & Sauti Safi​Kisonli U-2900 USB Gaming Speaker 2.1 - Bass Nguvu & Sauti Safi
TSh 45,000
3 Maonitazama zote
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif