Plug and play : uwezo wakuungabisha bila kuwa na application maalumu
Dual microphone: uwezo wakutumika na watu wawili kwapamoja
compatibility: simu yoyote yenye Type C
Range: uwezo wa kuunganisha umbali wa mpaka Mita 20
Noise reduction : uwezo wakuchuja sauti na makelele ya pembeni yasiweze kuleta usumbufu