tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Elektroniki
  3. Vifaa vya Sauti na Muziki
  4. Vifaa vya sauti vya chini
  5. Hisense Vifaa vya Sauti na Muziki
Imefaulu
Dar es Salaam, Ilala, masaa 2 yaliyopita
7 maoni

Hisense 2.1 CH 240W Soundbar (Model: HS2000

+1
Nyingine
Aina
Chapa Mpya
Hali
Chapa
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Ilala
Kariakoo
Imefungwa sasa
• Jumatatu - Jumapili, 08:00-20:00
Subwoofer ya Ndani kwa Ndani (Built-In Subwoofer): Haina lile boflo/box kubwa la bass lililotengana. Bass yake ipo humo humo ndani ya mfumo wa feni/spika ya juu, hivyo inaokoa nafasi kubwa sebuleni huku ikitoa sauti nzito sana.Nguvu Kubwa ya Sauti (240W Output Power): Inatoa sauti kubwa, safi, na yenye nguvu. Inatosha kabisa kubadilisha sebule yako kuwa kama ukumbi mdogo wa sinema au disco.Teknoloji ya Sauti ya Kisasa (Dolby Audio & DTS Virtual:X): Inakupa mfumo wa sauti unaozunguka (surround sound). Unasikia kila chombo, milio, na sauti za maneno kwa ufasaha zaidi.Muunganisho Rahisi (All-in-One Connectivity): Unaweza kuunganisha kwa kutumia Bluetooth 5.3 (kwa ajili ya simu), HDMI ARC (kula sauti safi kutoka kwenye TV kwa rimoti moja), Optical Cable, pamoja na USB/Flash.Muundo wa Kifahari (Sleek All-In-One Design)
Hisense 2.1 CH 240W Soundbar (Model: HS2000Hisense 2.1 CH 240W Soundbar (Model: HS2000
TSh 260,000
2 Maonitazama zote
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif