Aiwa Sound Pro SB8500 Wireless Soundbar With Wireless Subwoofer (500W
+1
Imefaulu
Dar es Salaam, Ilala, 34 min ago
17 maoni
Aiwa Sound Pro SB8500 Wireless Soundbar With Wireless Subwoofer (500W
Mifumo ya Sauti
Aina
Chapa Mpya
Hali
Other
Chapa
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Ilala
Kariakoo
Imefungwa sasa
• Jumatatu - Jumapili, 08:00-20:00
Nguvu ya Sauti (500W Max Output): Sauti kubwa na nzito inayofaa kwa kuangalia movie, mpira, au kusikiliza muziki nyumbani.
Wireless Subwoofer: Subwoofer inayojiunganisha bila waya (Wireless), hivyo unaweza kuiweka sehemu yoyote kwenye sebule bila kero ya waya kutapakaa.
Mfumo wa Sauti (6.1CH Stereo & 3D Surround Sound): Inakupa hisia za sauti ya kuzunguka pande zote (Surround Sound).
Njia za Kuunganisha (Inputs): HDMI (ARC), Optical, Bluetooth, USB, pamoja na AUX.
FM Radio & Equalizer: Inakuja na FM Radio na fursa ya kubadilisha mode za sauti kulingana na unachokiangalia.
Remote Control: Inakuja na remote kwa ajili ya kuongoza kila kitu kwa urahisi ukiwa umekaa.