Kazi ni ya kutafuta wateja kuuza bidhaa za kampuni ambako kila mtu atakaye timiza mauzo ya pc 60 na kuendelea atalipwa 800,000-1,000,000 na kutakuwa na bonasi endapo mtu akifikisha zaidi ya hapo.
Ujuzi Unaohitajika
1.Mtu ajue kusoma na kuandika
2.Mtu mwenye uzoefu wa kushawishi na mwenyewe uwezo wa kuuza.
3.Mtu anayejitoa katika kazi yake na kuipenda
Mahitaji ya chini ya Kufuzu
Namba ya Nida tu ,cheti la saba,form four cheti cha kuzaliwa
Uzoefu wa chini
chini ya mwaka moja
Kampuni ya GA-NUTRITIONS pia inatoa huduma ya ushauri nasaha kuhusu lishe sahihi