Ecco leather belt - luxury edition
mkanda motooo! - ecco original - pure leather kali - ngozi halisi 100% - texture kali - haiwaki, haichubuki, haipasuki - buckle ya silver imara - design ya kifalme - inadumu miaka - inakuja na box kali na tag - best kwa zawadi pia!
*rangi:* jet black - boss kali! - inang'aa sana!
*size:* free size - inarekebishika - inamtosha kila mtu
best kwa suit, trouser, jeans, khaki & ofisini - ukivaa mkanda huu na viatu vya leather, utaonekana boss mkubwa! - usivae suruali bila mkanda tena!
* kariakoo, congo & narung'ombe st.*
* delivery dar & mikoani leo leo*
* - wahi yako kabla haijaisha!*